Ni Beki tatu sababu ya necha ya kazi zake, ni mtu anapiga kazi kutwa kucha kudhibiti madhara golini, nadhani si haki kutembea na mtu yoyote nje ya ndoa hata kama si beki three.............., siku mkeo akijua umetembea na house girl ambae yeye anaamini ni mtu ana report kwake kikazi na kijamii itamuuma sana, utakuwa umemdhalilisha sana na umemkosea vilivyo maana beki tatu ataanza kujilinganisha na hataona tofauti kati yake na mama wa nyumba ni sawa na wewe ukigundua mkeo anapakuliwa na house boy, inauma sana na nadhani dawa pekee ni kutulia tu