Uhusiano uliopo kwenye matumizi ya AC na mafuta.

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Naomba kuelimishwa kama utumiaji wa AC kwenye gari kuna uhusiano na utumiaji wa mafuta.
 
A/C zote hutumia compressor ku pump gesi, katika gari compressor huungwa na crankshaft ya engine, ambapo consumption ya mafuta huongezeka
Ni sawa uongeze kifaa cha umeme nyumbani kwako, bill ya umeme itaongezeka
 
Asante sana mkuu
 
fact
 
Back
Top Bottom