Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kwanini wanawake au wasichana wanao paka rangi au kusuka katani zenye rangi rangi kichwani wengi wao kichwani(bongo) wanakuwa na uelewa mdogo sana wa mambo haswa ya msingi katika maisha tofauti na ambao hawajawekeza muda wao mwingi kuhangaika na mambo ya nywele. Unakuta mtu kanyoa kawaida au kabana nywele kawaida na hawana mambo mengi wengi wao hata kichwani(akili) wapo vizuri na elimu ipo na ni watulivu.