Unazungumzia wa huko mtaani kwenu? Umekutana na warembo bongolala ila isikufanye ukalili, wapo mabinti warembo wanaojipenda na wapo smart vizuri tu upstairs, shida yetu sisi ni kukalili mambo na kukosa exposure, get yourself exposed na ukubali kuwa open minded, itakusaidia.