Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gamal Abdel Nassir alikuwa rais wa Egypt na siyo Algeria, na wala hakuwa na uhusiano na Gaddafi kwa vile Gaddafi aliingia madarakani 1969 na yeye Gamal alifariki 1970.Habari wana Jamii,
Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.