Uhusiano wa Gaddafi na Gamal Abdi Nassar

kigogo056

Member
Joined
Oct 8, 2023
Posts
5
Reaction score
1
Habari wana Jamii,

Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.
 
Masahihisho. Gamal Abdi Nasser alikuwa rais wa pili wa Misri na sio Algeria.
 
Yaleyale ya Sadam Hussein kuwa Rais wa Libya!
 
Habari wana Jamii,

Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.
Gamal Abdel Nassir alikuwa rais wa Egypt na siyo Algeria, na wala hakuwa na uhusiano na Gaddafi kwa vile Gaddafi aliingia madarakani 1969 na yeye Gamal alifariki 1970.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…