Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Haimaanishi mtu akitaja jeshi basi ndio iwe taharuki. Hakuna mwenye nia ovu katika kulitaja jeshi hapa. Kwa utangulizi huu napenda kuanza kama ifuatavyo;
Katika nchi za wenzetu tunaona majeshi yakichukua nafasi zao kama taasisi zinazojitegemea. Nafasi zao katika kuhakikisha kuwa nchi husika hazipatwi na matatizo ya ajabu ajabu mfano mifarakano na uchochezi isiyo na tija kwa taifa. Katika nchi yetu ubusiano huu ukoje? Ulipaswa kuwaje? Pale ambapo jeshi huamua kuiwajibisha serikali.iliyomo madarakani ni mazingira yapi hupelekea hii hali? Misri ni mfano mzuri. Jeshi linaona inafaa kutwaa madaraka kwa manufaa ya nchi. Napenda kujua uhusiano wa jeshi na serikali huwa vipi hadi jashi kutwaa madaraka.ya nchi?