I ihagaa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 250 Reaction score 174 Oct 20, 2016 #1 Salama ningependa kujua kiundani mahusiano ya meno ya juu na kichwa sababu nimesikia case ka mbili ikiwa mtu kakosewa kung'olewa na kumsababishia kifo asante
Salama ningependa kujua kiundani mahusiano ya meno ya juu na kichwa sababu nimesikia case ka mbili ikiwa mtu kakosewa kung'olewa na kumsababishia kifo asante
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Oct 20, 2016 #2 Kuna mshipa ndani unafunga na na mfumo wa faham na unaambatana na sikio!!jaribu kuchech kwenye hii picha
Kuna mshipa ndani unafunga na na mfumo wa faham na unaambatana na sikio!!jaribu kuchech kwenye hii picha
R Mbuna JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,283 Reaction score 5,371 Oct 20, 2016 #3 wa stendi said: Kuna mshipa ndani unafunga na na mfumo wa faham na unaambatana na sikio!!jaribu kuchech kwenye hii pichaView attachment 421176 Click to expand... Hii picha kila nikiingalia bado sijapata picha mkuu.
wa stendi said: Kuna mshipa ndani unafunga na na mfumo wa faham na unaambatana na sikio!!jaribu kuchech kwenye hii pichaView attachment 421176 Click to expand... Hii picha kila nikiingalia bado sijapata picha mkuu.