Dunamist
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 474
- 686
Wakuu heshima nyingi ziwafikie
Naomba kujuzwa uhusiano wa kiasi cha mafuta unachoweka kwenye gari na matumizi yake. Zipo habari kwamba ukiweka mafuta mengi kwenye tenki la gari yako (mfano full tank), yanadumu muda mrefu kuliko ukiwa unaweka kidogo kidogo (vibaba). Ikoje hii technically.
Nawasilisha