Uhusiano wa kukata gogo na kusimama kwa uume

Uhusiano wa kukata gogo na kusimama kwa uume

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
209
Reaction score
37
Nimeanza kuobserve hii ishu kama miezi kadhaa iliyopita!hutokea mara chache napotoa choo kigumu,uume husimama!

Je, hili ni tatizo?
 
Mkuu.@mbaraka.m Ni kawaida kwa Mwanamume anaye dinda kwa sababu unatumia nguvu za ziada kiasi cha kukata gogo na kudinda wewe mwenyewe inawatokea wanume wengi mimi pia mmoja wapo usiogope mkuu.
 
Je kukata gogo unakula fegi inakuwaje pia?maana wengi nawaona wanapenda kula fegi wakiwa toilet
 
majaribio mengine hapana aisee.
Mkuu Mtoto halali na hela Acha uoga wewe jaribu mimi mbona nilisha wahi kujaribu kuvuta sigara kali wakati huo inaitwa sportsman nikavuta moja baada ya kuisha kumaliza kuvuta nikasikia hamu ya kwenda kulikata gogo miaka 33 iliyopita nikalikata gogo kiurahisi wewe jaribu kisha uje unipe feedback.
 
mkuu mbona umetaja sigara mbili tofauti Sigara kali ni kali ile aina kichungi kama bangi na lizila vile na spotsman nii ya kawaida... Nafikiri ukivuta kali au bangi ndio kubwa inatoka haraka!
 
Kinachotokea ni stimulation ya pudendal nerve whch has somethng to do with erection
 
mkuu mbona umetaja sigara mbili tofauti Sigara kali ni kali ile aina kichungi kama bangi na lizila vile na spotsman nii ya kawaida... Nafikiri ukivuta kali au bangi ndio kubwa inatoka haraka!
Mku kabanga Jaribu kutofautisha Sigara kali na Bangi? Bangi sio sigara Bangi ni ulevi au madawa ya kulevya Sigara sio ulevi wala madawa ya kulevya upo pamoja na mimi Mkuu?
 
Nashukur kwa wote waliochangia nimepata mwanga
 
Back
Top Bottom