Mlasani Senior Member Joined Nov 29, 2012 Posts 113 Reaction score 28 Feb 21, 2014 #1 Poleni na majukumu. Naomba kujua iwapo mtu akiwa na stress anaweza kupata maumivu ya mgongo. Karibuni wenye uelewa
Poleni na majukumu. Naomba kujua iwapo mtu akiwa na stress anaweza kupata maumivu ya mgongo. Karibuni wenye uelewa
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,667 Feb 21, 2014 #2 Pole kwa strees, hayo maradhi mabaya sana
Mlasani Senior Member Joined Nov 29, 2012 Posts 113 Reaction score 28 Feb 21, 2014 Thread starter #3 Watu bwana! Unaambiwa toa mchango wako then unakaa kabisa kuandika pumba! Kama huna uelewa soma pita zako
Watu bwana! Unaambiwa toa mchango wako then unakaa kabisa kuandika pumba! Kama huna uelewa soma pita zako