Uhusiano wa mimba na mkojo

Masigo Jr

Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
22
Reaction score
13
Habari zenu wanajukwaa,

Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza kuna uhusiano gani ulipo kati ya mkojo na ujauzito, kupima mkojo kwa wadada imekuwa njia mojawapo kubwa ya kujua kama mtu ni mjamzito au la, wajuzi mtuambie uhusiano uliopo.
 
Sababu mtoto(zygote)...au kijusi kinapokuwa tumboni mwa mama brain cells zake huzalisha aina fulani ya hormone ambayo baadae inaingia kwenye mfumo wa mama....na hutokewa kwa njia ya mkojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…