Uhusiano wa mimba na mwanaume kujisikia vibaya kutokana na mimba ya mkewe

Uhusiano wa mimba na mwanaume kujisikia vibaya kutokana na mimba ya mkewe

peter emmanuel

New Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Kuna ukwel wowote hukusu kama mke wako akiwa mjauzito mume wake akajisikia vibaya kutokana na mimba ya mke wake ( kijisikia vibaya ,mwili kuchoka ) na kama kweli tiba yake ni nn?
 
Huwatokea baadhi ya wanaume lkn ni wachache mno..tiba yk hd mama ajifungue
 
Mimba ya kwanza niliugua sana kiuno; mimba ya pili uchovu na mdomo mchungu kama nina malaria au uti nilijisikia hali hyo hadi alipojifungua ndo ikakoma
 
Back
Top Bottom