Uhusiano wa Mkenya na Muzungu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Mkenya akimuonyesha Muzungu Wanyama kama walivyofanya miaka 100 ilyopita, some things never change, ...



Hapa Muzungu hakumuamini Mkenya kuendesha gari la Utalii ikabidi mwenyewe akae kwenye usukani






 
Hivyo ndio babu yako alikuwa anakupigia stori[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu ni 1st Lady wa US ulitarajia atembee bila security ngamia hii.
 
Nashangaa watu wa Danganyika wanafika darasa la saba kweli? ?? The threads they post.. . Mschew !
 
Nashangaa watu wa Danganyika wanafika darasa la saba kweli? ?? The threads they post.. . Mschew !


Hizo picha hajazipiga ,,Mdanganyika" bali ni Mkenya anaitwa Hamza Mohamed na amezisambaza Dunia nzima, muulize huyo Mkenya kama amefika darasa la 7, mimi mjumbe tu!
 
Thread zingine bana...tena hilo jina muzungu..duh!!!

Mzungu babaa
 
Barbarosa Ni baadhi ya watu wanaowaona wazungu kama miungu. Hakuna chochote atakachosema ambacho kitakosa neno "mzungu". Aliyekuroga kafa. Mbona wakenya wanavaa hizo pith helmets bila shida?



Halafu ni nani aliyekuambia kuwa Hamza Mohammed ni Mkenya? Wewe nenda ukashabikie CCM. Hilo tu ndilo jambo uliwezalo, hakuna lingine.
 
Hapa naona kila dalili ya wivu wa kike.


Hahah kama kuna mtu alikuwa anatafuta sababu kwa nini Afrika tulitawaliwa na tunaendelea kutawaliwa na kudharauliwa basi wewe ni kithibitisho tosha, haujapata kitu hapo na wala ujumbe haujaulewa, wewe kwako unaona sawa tu, kweli kuna watu mlizaliwa kuwa slaves!

Wewe ni ,,house negro“ uko ndani ya nyumba ya Muzungu unakula anachobakiza unalala humo humo tofauti na ,,field negro“ yeye analala nje shambani, ...
 
Ni mke wa Rais, kuna protocal zao... wanakuja hadi na wapishi wao, madaktari wao, madereva wao, karibia kila kitu...


Cc: mahondaw


Nitafutie picha yoyote Dunia hii ambayo Raisi/Mke wa USA akiwa ziara ya kikazi amefanya kama alivyofanya Kenya/Afrika!
 
Kwani mmekosa ubunifu kuvaa vya mkoloni mpaka leo? Hata majudge huvaa wig mpaka Leo! Monkeys will remain monkeys 😅☝!
 
Hii ni dharau sana, mme wake kamdhalilisha UK in USA mke wake kaleta dharau ndani ya Kenya. Wakenya amkeni!!!! muache ufala na sifa za kijinga
 
Sijapata kuona watu wanaowaabudu wazungu kama hawa jama.
 
Hii ni dharau sana, mme wake kamdhalilisha UK in USA mke wake kaleta dharau ndani ya Kenya. Wakenya amkeni!!!! muache ufala na sifa za kijinga

Hamna dharau hapo. Tatizo lenyu nyie huwa na chuki wakati wote. Mko na mentality ya victimhood. Labda mngeanza na "Kuamka" mumung'oe yule dictator kichaa wa kwenyu ambaye vibaraka zake wanampangia hadi siku ya kuvaa suti. Mkishamaliza, mje mtuambie jinsi ya kuamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…