Epateletech
Member
- Jun 17, 2015
- 45
- 20
Kuna uhusiano gani wa mtoto kuumwa umwa mara achemke mara infections yaani taflani nakosa raha mkienda hospital hana ugonjwa mtoto anakaribia mwaka kuna mtu kanambia eti nimpeleke nyumbani nakozaliwa atapona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukuraniSijui,, lakini hata ukienda huko nyumbani chukua udongo wa huko na wa hapo unapoishi changanya na uchukue uuloweke kwenye maji kidogo mnyweshe na yanayobaki muogeshe.
Tuliambiwa hivyo zamani ichukue ukiona inafaa na ukiona haifai achana nayo.

ShukuraniMpeleke mtoto akakanyage ardhi ya kwao, bibi na babu wambusu, wamtie machoni pao, kisha mrudi mnakoishi muishi kwa raha mustarehe..
Pia jitahidi ukijifungua, bibi mzaa baba aje japo kwa muda mfupi kama haiwezekani kukaa muda mrefu..