Epateletech
Member
- Jun 17, 2015
- 45
- 20
ShukuraniSijui,, lakini hata ukienda huko nyumbani chukua udongo wa huko na wa hapo unapoishi changanya na uchukue uuloweke kwenye maji kidogo mnyweshe na yanayobaki muogeshe.
Tuliambiwa hivyo zamani ichukue ukiona inafaa na ukiona haifai achana nayo.

ShukuraniMpeleke mtoto akakanyage ardhi ya kwao, bibi na babu wambusu, wamtie machoni pao, kisha mrudi mnakoishi muishi kwa raha mustarehe..
Pia jitahidi ukijifungua, bibi mzaa baba aje japo kwa muda mfupi kama haiwezekani kukaa muda mrefu..