leo asubuhi katika kusoma kwangu biblia nikapata kujiuliza maswali kidogo juu ya mamajusi au magi kwa kiingereza baada ya wao kuona nyota na kugundua kuna mfalme ambaye ni yesu kuwa amezaliwa..
Swali ni kuna uhusiano gani hapo kati ya nyota na yesu? na je ni kweli kuwa kila binadamu anaweza kuwa na nyota yake??
Naombeni kujuzwa.