Uhusiano wa shule za gharama na mkopo

KICHUMVI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
113
Reaction score
14
HABARI WANA JF, KWANZA KABISA NATANGULIZA POLE SANA KWA WALIOKOSA MIKOPO WASIKATE TAMAA PIA NAWAPA HONGERA WALIOFANIKIWA KUPATA NAWASHAURI WAKASOME KWA BIDII.

MIMI NIMEJARIBU KUFUATILIA SANA WALIOKOSA MIKOPO WALIO WENGI KARIBU NA MIMI NI WALE WALIOSOMA SHULE ZA GHARAMA PIA WALICHAGUA COZ ZA NON PRIORITY ESPECIALLY OUT OF ualimu, uhandisi, sayansi ya kilimo, sayansi ya wanyama, sayansi ya tiba na hisabati. JE KUNA UKWELI WOWOTE WA HILI ?
 
yes ni kweli wame-put into consideration shule ambazo muhusika alisoma kama ulisoma shule za kulipia o level na a level then ukachaguliwa non priority course hapo mkopo haukuhusu kiroho safi.
 
Kaka, ukweli pengine utakuwa hapo kwenye RED na wala sidhani kusoma shule zenye gharama kama kigezo cha kutokupata mkopo maana ninayo mifano mingi ya watu waliosoma kwenye shule hizo zinazoitwa zenye gharama na wamepata mikopo.
 
yes ni kweli wame-put into consideration shule ambazo muhusika alisoma kama ulisoma shule za kulipia o level na a level then ukachaguliwa non priority course hapo mkopo haukuhusu kiroho safi.

Sidhani kama kuna ukweli wowote hapa,inamaana wale wote wa NON-PRIORITY waliopata mikopo walisoma gvt schools? Embu waje watuambie hapa. Binafsi nimetoka prvate schools na nimepata loan isipokuwa nimepangwa PRIORITY course.
 
yah weng non-priority waliopata wamesoma govermnts olevel na alevel, waliosoma private olevel hlf advance gvt kama koz ni non priority hawajapata, wameconsider xana shule uliosoma olevel kwa koz za non priority
 
wakuu kuna hii ishu ya family background...wazazi....sijui kama mnajua!!!
 
wakuu kuna hii ishu ya family background...wazazi....sijui kama mnajua!!!

Baba engineer mama Afisa mawasiliano wa Vodacom hapo hata uwe umeomba priority lazima ulambe NIL
 
Baba engineer mama Afisa mawasiliano wa Vodacom hapo hata uwe umeomba priority lazima ulambe NIL
nlikua nasemea kama mtu kapata loan akiwa na prog ya non priority...ndo hapo unaweza kuta mzazi hayupo au hawapo...ila kama ni priority na wazazi wana uwezo ni ishu kupata loan!!!
 
nlikua nasemea kama mtu kapata loan akiwa na prog ya non priority...ndo hapo unaweza kuta mzazi hayupo au hawapo...ila kama ni priority na wazazi wana uwezo ni ishu kupata loan!!!

ndo hapo mkuu, kuna jamaa yangu kwao zipo na kachaguliwa civil UDSM kaambulia 2,600,000 tu ni sawa na 0%
 
mimi o level a level zote private japo niliunga unga 2......dingi ana kaz ya wastani mothr hana kaz yeyote.....coz priority NO LOAN
 
Wale jamaa huwa wanaangalia njia fupi na rahis ktk kazi zao yaani, hata kama ulsoma shule za ada ya mil 10, ile ukichagua coz zao za priority kama uhandis, ualmu, dactari watakupa mkopo.ila vingnevo ni ajali
 
ni kweli waliosoma st kayumba kwa kiasi kikubwa wamepata mikopo na ni kiasi kikubwa ili weng wao wenye div one na two...mimi nipo bba na nimepata wa kutosha pale mzumbe ingawa olevel nimesoma private na advance ya kata....na best angu kasoma pandaili ya mbeya ada yao ilikuwa zaid ya mil moja na mpaka sasa kafanikiwa kumuona mtu mmoja tu aliepata kutoka shule yao facult baed....na yeye kakosa pia hivyo angalau mwaka huu wamezingatia vigezo kimtindo...swali la kujiuliza watu wa mzumbe wote wamesoma serikalini
 
bro kigezo cha ufaulu kilishaondolewa,mfano jamaa zangu wamepata mikopo ya kutosha non-priority na matokeo yao 3 ya 16,17,na wamesoma o level public a level private
 
Mi ninachoona wameconsider zaidi olevel coz mi nmesoma private oleval na advance af watu nliosoma nao a level ambao walisoma gvt olevel wamepata loan af tulipata div sawa, lkn mimi nkalamba nill.
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote hapa,inamaana wale wote wa NON-PRIORITY waliopata mikopo walisoma gvt schools? Embu waje watuambie hapa. Binafsi nimetoka prvate schools na nimepata loan isipokuwa nimepangwa PRIORITY course.

mie nmechaguliwa non-priority coure lkn nmepata boom.
 
duu kama ndo hivyo kigezo cha xcl ndo kimetumika na kama wazaz wapo au laa kwa non priority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…