Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana.
Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.
Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.