Hii ndio kwanza naisikia kwako, tusubiri wana jamii wengine watupe uzoefu wao juu ya hili.Mwilini na hata kwenye mabanda ya kuku.
Utitiri wa watuUtitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana.
Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.