Uhusiano wa Uzazi na maumbo yetu

Uhusiano wa Uzazi na maumbo yetu

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Eti wakuu ni kweli mwanamke akiwa mwembamba sanaaa, au mnene sanaaa anakuwa katika hatari ya kushindwa kubeba mimba?

Nini sababu yake?
 
Back
Top Bottom