M mwana ally JF-Expert Member Joined Jan 30, 2014 Posts 363 Reaction score 119 Jun 3, 2014 #1 Eti wakuu ni kweli mwanamke akiwa mwembamba sanaaa, au mnene sanaaa anakuwa katika hatari ya kushindwa kubeba mimba? Nini sababu yake?
Eti wakuu ni kweli mwanamke akiwa mwembamba sanaaa, au mnene sanaaa anakuwa katika hatari ya kushindwa kubeba mimba? Nini sababu yake?