Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

ooh jamani nimehuzunika na kufurahi kwa pamoja
 
Nimeelewa

Kwenu wapi?

Sie tunakula mbegu fulani punje moja tu kisha shughuli inaaza (kuendesha)

James Jason
 
Daaah Ruth kafa aiseee, nilitamani nione mwisho utawaoa wote au nani ila kumbe Mungu Ni mpangaji, hata sijui nikupe pole au hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah Ruth kafa aiseee, nilitamani nione mwisho utawaoa wote au nani ila kumbe Mungu Ni mpangaji, hata sijui nikupe pole au hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe pole kisha nipe hongera
(Itanifanya nisihuzunike zaidi)

Nimeandika kwa tabu sana sehemu ya 16

Machozi yangu hayapo mbali

James Jason
 
Sijui nikupe hongera au pole ila yote kwa yote mzee unajua kuleta taswira halisi ktk uandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaliyojiri msibani nilishindwa kuandika, ningeanza kulia upya!

Nikapooza kidogo kwa flash-back

James Jason
Mungu alimpanga Hamida awe mke, ila kibinadamu uliona muda umepita na kukatishwa tamaa na mipango ya babake Hamida.
Ruth ilikuwa lazima afe, ni mipango ya Mungu...
Pole sana na hongera pia kwa akili kubwa uliyotumia ya mashambulizi kwa babake Hamida. Hapo kweli ulicheza kama Jason Bourne original, sheikh Jamaal!
Waiting for #17

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanza pole kwa Ruthi, pili hongera kwa mtoto
Hakika Hamida alipangwa tangu awali awe wako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una uandishi konki sana, pole kwa kufiwa....I hope hata wale wavivu wa kusoma umewavuta wafatilie hii story coz msomaji anapata picha kamili ya matukio, emotions/feelings na vilevile anapata mafunzo adimu.

We are waiting for episode 17.

Ngoja nikaweke LIKE kwenye episode 16
 
Washtue na wengine waje wasome, wajifunze, waburudike pia.

James Jason
 
Pole kwa yaliyotokeaga mkuu! Na Hongera kwa ushindi wa kupata ridhaa ya kumuoa asal wa mtima wako! Congrats again for the wonderful narrative of the story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…