Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Huku ndo kwetu ,jitahidi uje hapa Ilagala baada ya Bulombora jkt,ni kweli hizo dawa zipo na zinafanya kazi ulizoziainisha ....ila kuna hivyo vimbegu alivyotaja comrade Jason navyo ni vizuri mno
 
Mzee wangu una akili sana sana. Huwa hukurupuki kwenye majibu yako..nikupe hongera kwa hilo
 
Dah,hii stori yako mzee imeenea kila idara,sijutii kuifatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongeraa sana. I wish ningekua nauwezo kama wako..ningekua nashinda naandika

Huyu mzee ni zaidi ya facilitator
Nachopendea zaidi uandishi wake anatumia lugha ya kawaida kumjengea msomaji taswira ya vitu halisia vilivyotokea kiasi kinachompelekea msomaji kujohisi kuwa sehemu kamili ya kisa kilichotokea
Big up sana kwake[emoji1487]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa hiyo dawa unajipiga bomba mwenyewe au kuna mtu anakufanyia hiyo kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Huku ndo kwetu ,jitahidi uje hapa Ilagala baada ya Bulombora jkt,ni kweli hizo dawa zipo na zinafanya kazi ulizoziainisha ....ila kuna hivyo vimbegu alivyotaja comrade Jason navyo ni vizuri mno
Wewe nawe unanikumbusha, bulombora 821,ilagala gerezani. Muyobozi nk.Maisha haya rest in piece. Afande komba. Hasani mana. Na Yujini.
 
Sijaanza kuandika bado.

Endeleeni kujadili, kuuliza maswali, etc.

Nikipata wasaa nitaandika na kuweka.

Waalikeni na vijana wengine wasome simulizi hii, yapo ya kujifunza na kujibumbusha.

James Jason
Tunashukuru sana . Tunajifunza mengi sana kwako
 
Kuna yule aliyependekeza kupata tafsiri ya " The perfumed garden" akiingiza ile PDF katika Google translator. Kitabu kizima kitafasiriwa Kama kilivyo. Maaana nakubaliana nae lugha ya mule, Kama so mjuzi wa lugha ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Jason naomba nirudie tena kuuliza swali langu maana mwanzoni hukulijibu. Katika hizo spots 3 A,G na C/U ni ipi humsisimua zaidi mwanamke?
Na pia orgasm ya kawaida na squirting ipi humfurahisha zaidi mwanamke?
Asante sana.
 
Loooh, hongera!.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Jason naomba nirudie tena kuuliza swali langu maana mwanzoni hukulijibu. Katika hizo spots 3 A,G na C/U ni ipi humsisimua zaidi mwanamke?
Na pia orgasm ya kawaida na squirting ipi humfurahisha zaidi mwanamke?
Asante sana.
Nilijibu kuwa inahitaji uzi wake.

Kila spot ina ladha yake
Na kila mwanamke atatoa kipaumbele kwa kadri ajijuavyo ama wapi aliguswaje

Kigoroli ndiye sehemu yenye neva nyingi za hisia (the most sensitive part)

A spot, U- spot na G-spot zina support mke kufika kilele

Vilele navyo vipo vingi

Mke anaweza kurusha maji (squirting) lakini asifike kilele, au akafika kilele bila kurusha maji ama akafika vyote kwa pamoja

Ni darasa refu

Muhimu ni kujuwa hizo points zilipo kisha kujaribu kwa mwenza wako na kumuuliza yeye wapi anasikia msisimko zaidi

Wanawake wanatofautiana sana



James Jason
 
Ukitumia google translator HUTOPATA LADHA HALISI

Google wanaboronga sana kuleta kwenye lugha ya Kiswahili kutoka lugha nyingine

Bora usome ukiwa na kamusi.

James Jason
 
Wewe ni legend mkuu!
Pamoja na kujisomea lakini mila zetu zilikuwa zinatupa kitu positive vijana.
Leo hii kijana mambo haya unajifunzia jamii forum na sio baba wala mjomba anayejisumbua na wewe
Kweli tumepoteza mengi sana.
 
Nimetoka kucheki game mida hii liver tumefungwa 😔😔😔. nilijua ntapata cha kufutia machozi humu nako holaaa😢😢😢, Ngoja nilale hivyo hivyo ila kesho babu usitusahau😊😊

Usiku mwema wakuu
YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…