Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Very sad. Ruth, R.I.P, gone so early.

Hivyo yale makaburi au tuseme eneo la makaburi ulilifavyia usafi kumbe Ruth Naye anakuja kulala pale, ok pole.

Mengine sijui ni mipango ya Mungu au nini sasa ingekuwaje huku Ruth huku Hamida wako,

speechless.

Pole mwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
heeee, makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Mzee wetu kwakweli unatukatili ... embu fanya mambo hata hii weeknd iende vyema kwa sisi vijana wako.
Poleni wapenzi wafuatiliaji, Mungu akipenda kesho nitaweka.

Ila wakati tunasubiri hiyo kesho, ya kuelimishana kuhusu simulizi hii ni mengi, ulizaneni mwenye weledi atajibu ili mradi tupeane elimu sahihi.

Kesho muda kama huu tayati sehemu ya 17 nitakuwa nimeweka.

James Jason
 
Niko standby naisubilia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jambo gumu kuamini kuwa limetokea kama kumpoteza umpendaye kwa kifo. I am very sorry for your lost (Rip Ruth).😭😭😭

Ila nikiri Mkuu, una uandishi mzuri sana na mpangilio wa stori yako.

Nilikuwa nikisoma hadithi yako kimya kimya, lakini uzalendo umenishinda leo nimejitokeza kukupongeza. You nailed it Sir πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…