Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Kaka Jamal Jason naomba utujulishe kwa ilmu na maisha uliyoishi ndani ya uislamu upo ktk daraja lipi,sheikh, maalim au hajji ili niweze kuandika jina lako sanjar na daraja lako ili kukupa heshima unayostahili
 
Mimi bado ni maamuma.
Umri unanibeba hivyo hata ukiniita sheikh hautokosea ingawaje siyo sheikh wa kutoa fatwa!

Al hajj hufaa kuitwa wale waliotoka kuhiji mwaka huo kabla ya hija nyingine, ingawaje wengi hupenda kuitwa hivyo hata kama alihiji miaka zaidi ya 2 iliyopita.

Cheo cha Maalim hakinifai kwa kuwa mimi sikubobea kwenye elimu ya dini (siyo A'alim)

James Jason
 
Naomba niulize hivi,
1:Watoto wako Ni hao tu au kuna wengine ulizaa na wanawake wengine baada ya ndoa
2:Na je hukubahatika kuongeza mke wa 2 au 3, Kama ndio au hapana kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto nilionao ni:-

1. Mmoja Kwa Marehemu Ruth
2. Sita kwa Hamida

Ila nina wasiwasi huenda Rose 'alisepa' na damu yangu. Wasiwasi tu.

James Jason
 
Ulijaaliwa kwenda umra au hijja ?
Ahsante kwa tafsir sahihi ya hajji,kwani sisi tunaitana alhajji hata kwa mtu aliehijji miaka 20 iliyopita
 
hii story yako ni nzuri sana, kuna wakati (siku za nyuma huko) nilikua nalaani sana aliyeyaleta hata ma (dini) maana yametuvuruga sana sisi vijana wa kileo.....

ningeisoma story yako hii miaka minne iliyopita hakika yule binti wa kiislamu nisingemwacha (she was so cute!)..... niliogopa dini tu as mimi ni mkristo!!.......

anyway maisha lazima yaendelee, ila hii story yako imenifanya nijutie baadhi ya maamuzi niliyowahi kuyachukua maishani!
 
mkuu hongera sana, mwenzako niliogopa na njiwa nikamwacha aende!

hongera kwa kuvujua barrier zilizoletwa na waarabu na wazungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mkuu hongera sana, mwenzako niliogopa na njiwa nikamwacha aende!

hongera kwa kuvujua barrier zilizoletwa na waarabu na wazungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante mkuu,barriers always haziishi inategemea tu ni za aina gani na uzito gani ila ukipambana nazo huwa zinavunjika tu kuendana na muda.

Pole kwa kumuacha njiwa akaruka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutaka hii stori iishe kama isidingo sema ndio hivyo tena!
Kulingana na nafasi na umri wako naamini una mengine mengi ya kusimulia na sie tukachukulia kama mafundisho. Naomba kwa nafasi yako uwe unatuletea simulizi nyingine zaidi hasa kama za akina Sue Patterson na maisha yako ya ughaibuni. Pia rematch na Nyansoooo!
Shukrani kwa muda wako mkuu JBourne59
 
So good, pengine vijana mmejifunza kitu hapo.

Hamida alipata bahati ya kupata mume mwenye mapenzi,

Mmmmh, Mary mkaja kumalizana je.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So good, pengine vijana mmejifunza kitu hapo.

Hamida alipata bahati ya kupata mume mwenye mapenzi,

Mmmmh, Mary mkaja kumalizana je.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marry alikuwa ana mume.
Mumewe alivyopata maradhi yaliyo sababisha tendo la ndoa kutokuwepo ama kuwa hafifu.

Mumewe alitibiwa na akaweza ku control ugonjwa kwa kutumia dawa.
_

Kujibu swali ni kwamba, nilivyooa tu, niliacha ujinga ujinga.

James Jason
 
Sheikh Jamal nahisi kisa hiki kinaweza kuwa swadaqat jaalia kwako ,je ni sawa au nakosea maana halisi ya swadaqat jaalia
Pia hongera sana sheikh
 
Sheikh Jamal nahisi kisa hiki kinaweza kuwa swadaqat jaalia kwako ,je ni sawa au nakosea maana halisi ya swadaqat jaalia
Pia hongera sana sheikh
Mmmh, sina uhakika
Kuna sehemu nimesimulia kama video ya ngono!

Namuomba Mwenyezi Mungu anisamehe kwa makosa niliyofanya!

Ila yapo ya kujifunza mengi.

James Jason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…