Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Taarifa:

Nilianzisha uzi (MMU) leo saa 1554 CAT (1654EAT) wenye kichwa cha habari
"Jinsi ya kufanya ili mwanamke aweze ku-squirt"

Uzi umeondolewa/umefutwa

Sikukiuka taratibu, kanuni wala maadili ya JF.

Niliweka intro tu lakini ndani ya dakika chache uzi ukaondolewa.

Mbaya zaidi sikupewa taarifa ya kwanini uzi wangu umefutwa ama kuondolewa ili kama kuna sehemu nimekiuka nirekebishe.

Sikuambatanisha picha, video ama audio clip. Sikuandika matusi wala maneno yoyote yenye kukiuka maadili ya JF wala sheria za Cyber.

Hii imenivunja moyo sana.

Nia ilikuwa njema kabisa ya kuelimisha jamii.

Nimesikitika sana.


James Jason
 
Dah! Mods washaufyeka, hawataki watu tupate elimu.
 
Pole, you know what they don't know.

Pole eeeh, hope you'll do needful.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamenikera Mimi[emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni kweli nimeona uzi umefutwa. Maana nilifuata ile link iliyoweka lakini uzi ukawa haufunguki.
 
Inasikitisha sana,tunakosa elimu hivihivi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah nimekubali kweli mapenzi yalikuwepo wakati wenu, hakuna mbwembwe, watu mmetulia binti hana papara ya msisha wala tamaa za pesa.
Uko vizuri mzee wangu. Najitahidi kumfananisha hamida na mabinti tunaowatafuta sasa vijana, Kiukweli ni siri yetu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sasa wanausoma wenyewe tu au
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tufanye nini, ili dhamira ya kupata elimu itimie. Au ututumie nje ya forum?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…