Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Inakukumbusha nini mzee?,halafu umepotea sana humu JF na Kule kwenye darasa letu,
Salama lakini ?
Jinsi nilivyopanda pikipiki (tukutuku) kwa mara ya kwanza

Jinsi nilivyosafiri nje ya kijiji kwa mara ya kwanza

Jinsi nilivyoanza safari ya kwenda shule ya kati (middle school)

Rejea simulizi
 
Jinsi nilivyopanda pikipiki (tukutuku) kwa mara ya kwanza

Jinsi nilivyosafiri nje ya kijiji kwa mara ya kwanza

Jinsi nilivyoanza safari ya kwenda shule ya kati (middle school)

Rejea simulizi
Mkuu tulikumiss humu jamvini, tupe somo au kisa kimoja asee
 
Jinsi nilivyopanda pikipiki (tukutuku) kwa mara ya kwanza

Jinsi nilivyosafiri nje ya kijiji kwa mara ya kwanza

Jinsi nilivyoanza safari ya kwenda shule ya kati (middle school)

Rejea simulizi
Asante,maisha yanaanzia mbali sana
 
Nipo Lindi kwa miaka kadhaa sasa.
Nasikitika kusema kuwa bandari ndiyo inaendelea na ukarabati hakuna meli za abiiria sababu ya kufunguka kwa barabara ya kusini.

Ila huu mji hauna tax kama ilivyokuwa miaka hiyo.

Fun enough ninaishi national na maeneo hayo hayo uliyoelekeza nyumba ziliuzwa kuna ambao wameziendeleza na wengine hawajaziendeleza maisha yanaendelea.

Asante sana kwa kumbukumbu hii.
 
Nimefurahi, kujuwa kuna mdau wa JF Lindi.

Natamani kutembelea tena Lindi.
 
Nimefurahi, kujuwa kuna mdau wa JF Lindi.

Natamani kutembelea tena Lindi.
Karibu sana kusini.

Mara ya mwisho kuja huku ni mwaka gani?.

Lindi imefunguka siku hizi kwa gari binafsi ni masaa matano na basi masaa sita mpaka saba.

Kuna nyumba mpya za National housing zimejengwa lakini pia zimeuzwa kwawadau
 
Nashukuru sana,
Nitakaribia,

Natamani kufika Likotwa, Bandarini, National housing, Hospitali na maeneo mengine kama vile Mtanda etc
 
Nilipita Lindi miaka michache iliyopita (awamu hii ya 5) lakini ilikuwa usiku, sikupata wasaa mzuri wa kuiona Lindi
 
Nashukuru sana,
Nitakaribia,

Natamani kufika Likotwa, Bandarini, National housing, Hospitali na maeneo mengine kama vile Mtanda etc
Karibu sana kuna changes nyingi hospital ya sokoine kariakoo likotwa muhimbili mitema siku hizi kuna mji mpya unaitwa mitwero kuko vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…