Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Siku za hivi karibuni nimeona wasanii wa kidunia wakijitokeza kwa manabii sio kwamba wanaokoka na kumrudia Mungu hapana tumeona shughuli zimeendelea kama kawaida kufanya anasa
Diamond na clear malisa
Harmonize na pastor Tony
Rayvan na mwamposa
Nakaa najiuliza Hawa vijana huwa ni kiki zao tu Kuna jambo linaendelea sababu Hawa manabii wanaowawekea mikono nao huwa wanahusishwa na nguvu za giza