Natafuta mchumba
Sifa:
Awe mrefu
Maji ya kunde
Ajue kusoma na kuandika
Awe na moyo wa biashara kulala sipendi
Uaminifu uwepo
Mengineyo tutashauriana
Atakapokuwa awe tayari kuonana nami
Ingia pm fast
Mm
Mrefu
Maji ya kunde
Najua kusoma na kuandika
Niko chuo kikuu
Mengineyo mengi ya faida ninayo
Kila la heri mkuu, ila hapa sio mahari sahihi ungeweka love connect ingependeza zaidi........ swali la kizushi; Hapo chuoni kwenu umekosa mchumba wa vigezo vyako?
Kila la heri mkuu, ila hapa sio mahari sahihi ungeweka love connect ingependeza zaidi........ swali la kizushi; Hapo chuoni kwenu umekosa mchumba wa vigezo vyako?