Uhusiano

Uhusiano

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Habari wana jf
Nadhani kila mtu ambaye yupo hapa u mzima kiafya nina swali dogo sana ambalo huwa najiuliza sipati jibu kila wakati ndio maana nimeamua kuleta huku ili mutoe maoni
"NIKWAMBA KUOA MWANAMKE ALIYE KUZIDI UMRI EITHER MWAKA 1&2 KUNA TATIZO LOLOTE?Fungukeni wana jf.
 
kwa upande wangu sidhani kama kuna tatizo, maana age difference sio kubwa sana.. mwaka mmoja au miwili sio mbaya, ila miaka minne au mitano na kuendelea, ni kesi.. tena kubwa
 
Back
Top Bottom