Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Habari wana jf
Nadhani kila mtu ambaye yupo hapa u mzima kiafya nina swali dogo sana ambalo huwa najiuliza sipati jibu kila wakati ndio maana nimeamua kuleta huku ili mutoe maoni
"NIKWAMBA KUOA MWANAMKE ALIYE KUZIDI UMRI EITHER MWAKA 1&2 KUNA TATIZO LOLOTE?Fungukeni wana jf.
duh!mapenzi jukwaa la elimu?