Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’

Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa kugusana au kusogeleana karibu na mwathirika

Kisa cha kwanza ni cha mgonjwa anayesemekana katika siku za karibuni aliingia nchini Uingereza kutokea Nigeria, ambapo inaaminika alipata maambukizi hayo

========

The viral infection usually causes mild illness and most people recover within a few weeks and is similar to human smallpox.

Initial symptoms include fever, headache, muscle aches, backache and exhaustion.

However, severe illness can occur in some individuals.

The patient found with monkeypox recently travelled to the UK from Nigeria, where they are believed to have contracted the infection.

The person is receiving care at the expert infectious disease unit at the Guy's and St Thomas' NHS Foundation Trust in London.

According to the NHS, monkeypox is mainly spread by wild animals in parts of west or central Africa and the risk of catching it in the UK is very low.

The infection can be spread through close contact with an infected person, but there is a very low risk of transmission to the general population.

Source: Sky News
 
Kisa cha kwanza ni cha mgonjwa anayesemekana katika siku za karibuni aliingia nchini Uingereza kutokea Nigeria, ambapo inaaminika alipata maambukizi hayo
... kisa cha kwanza kwa mgonjwa aliyetokea Afrika!
 
tumezoea tu kila baya limetokea Africa na kila zuri limetokea kwao kama kawaida yao hakuna jipya na sisi huku huwa tunakubali ni kama vile sisi huku tunakula paka na nyani, mbwa hawa mpaka tamaduni zao wanataka na sisi tuwafuate hili moja la kutulazimisha turuhusu ndoa ya mwanamme na mwanamme au mwanamke na mwanamke walishindwa kwa kuwa kama nchi zote za Africa walilikataa wakawa kama hawana la kufanya.
 
Tanzania tulishauthibiti huo ugonjwa kitambo sana...

Chickenpox... ati wao wanauita monkeypox... hahaha
 
Back
Top Bottom