Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Jun 27, 2016 #1 Uingereza 1:2 Iceland
tereweni JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 619 Reaction score 370 Jun 27, 2016 #3 Hii hatarii
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 182,097 Reaction score 1,099,383 Jun 27, 2016 #4 Si wamejitoa EU. Acha wachapwe tu kwani hakuna namna!
M mninga dume Member Joined Jun 18, 2016 Posts 49 Reaction score 29 Jun 28, 2016 #5 Uingereza wanatisha kwa SOKA LA kwenye vyombo vya habari, lakini uwanjani no.
C compos Member Joined Feb 1, 2015 Posts 66 Reaction score 28 Jun 28, 2016 #6 Hhhh...hawa jamaa wana gundu
L Laleyo Senior Member Joined Dec 10, 2012 Posts 118 Reaction score 27 Jun 28, 2016 #7 Roy Hodson kabwaga manyanga, timu inanyota ya Ukawa
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Jun 28, 2016 Thread starter #8 mninga dume said: Uingereza wanatisha kwa SOKA LA kwenye vyombo vya habari, lakini uwanjani no. Click to expand... Hahah angalau kuna mtu ameanza kuwashtukia Waingereza, hawa jamaa ni wazuri sana kwa media, ukisikiliza media zao utafikri Dunia nzima imeanzia na kuishia kwao kumbe fiksi tupu, sasa wanaabika balaa!
mninga dume said: Uingereza wanatisha kwa SOKA LA kwenye vyombo vya habari, lakini uwanjani no. Click to expand... Hahah angalau kuna mtu ameanza kuwashtukia Waingereza, hawa jamaa ni wazuri sana kwa media, ukisikiliza media zao utafikri Dunia nzima imeanzia na kuishia kwao kumbe fiksi tupu, sasa wanaabika balaa!