Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

Alafu hadi sasahivi hakuna hata hatua za JWTZ kuchukua nchi?

Yaaani unalaaniwa na Jumuiya nzima ya Kimataifa, wananchi wote hawakutaki alafu kuna Wanajeshi wanasubiri Tume iliyoharibu uchaguzi kumtangaza mtu kuwa ameshinda uchaguzi.

Kweli Jeshi letu limerogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…