Saudi Arabia anambwaga shoga yyake USA. Kwenye ulinzi kampa tenda Pakistan kwenye logistics analipa kwa Yuan! Byebye dollarSaudi Arabia inaweza kuidhinisha matumizi ya Yuan ya Uchina kwa ajili ya malipo ya mauzo yake ya mafuta kwenda Ulaya, Asia Mashariki, Afrika na Amerika Kusini kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.
🚨Baada ya Urusi, Iran, Japani na India sasa Saudi Arabia na GCC kufikiria kutumia Yuan ya Uchina kwa njia salama ya kupita meli.
View: https://x.com/rkmtimes/status/2043259237716132039?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamna kitu Stamer si kashasema Uengereza na aila zao zote wanaungana apo kuunda umoja wao na hawatashiriki kwenye mradi wa Trump., trump ni kama wanamuacha solembaTrump kavurungwa anasema kuna mataifa atashirikiana nayo kufungua Hormuz mengine yanatoka Nato lakini kashimdwa kuyataja😂
Saudi Arabia anambwaga shoga yyake USA. Kwenye ulinzi kampa tenda Pakistan kwenye logistics analipa kwa Yuan! Byebye dollar
Trump kapata mental disorder kama babu yake biden. Mchina amemuambia arukeruke kote asiguse meli zake
Araghchi ni waziri wa mambo ya nje. Sio waziri mkuu.HABARI KUBWA: 🇮🇷 Waziri Mkuu wa Iran Abbas Araghchi amecheza vizuri sana kumdhibiti Trump
🇮🇷 Iran –– "Tunataka fidia kwa hasara zote zilizotokea vitani" 🔥
🇺🇸 Marekani –– Hasara gani? 😂
🇮🇷 Iran –– "Mitambo ya nishati, madaraja na miundombinu kote nchini" 🔥
🇺🇸 Marekani –– Vipi tusipolipa? 😂
🇮🇷 Iran –– "Usipolipa tutakamata na kuuza meli za maadui katika Ghuba ya Uajemi" 🔥
Sasa Marekani italazimika kupiga magoti mara nyingine tena. Sinema kabisa
View: https://x.com/amockx2022/status/2043305961679397306?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Endelea kuota. Hakusalimu amri mwanzo asalimu sasa hivi!?Hapa Iran lazima tu asalimu Amri! Donald anajua anachokifanya
Putin kelele tuu, Ukraine anamtoa jasho mwaka wa nne sasaKauli yenye nguvu kutoka kwa Vladimir Putin
"Mradi China, Urusi, na Iran zipo, haiwezekani kwa mtu yeyote kuishi kama mtawala wa dunia."
Putin analenga utawala wa Marekani, akitaja kile anachokielezea kama sera za kimabavu chini ya Trump. 🌍
View: https://x.com/dailyirannews/status/2043044958140010856?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ifikie hatua uache KUROPOKA na uanze kuongea vitu vya maana. Unaropoka sana!Waarabu weusi mnajua sana kujifariji, Iran kwisha habari yake, usalama wake aachane na nuclear, hata baada ya Trump wataendelea kumtandika tuu
Ukraine amefanikiwa kurejesha maeneo yake!?Putin kelele tuu, Ukraine anamtoa jasho mwaka wa nne sasa
🇷🇺 Rais wa Urusi Vladimir Putin: "Tutauza mafuta kwa yeyote tunayemchagua. Hatuhitaji ruhusa kutoka kwa mtu yeyote ili kuuza mafuta ya Urusi, na hatuko chini ya udhibiti wa mtu yeyote."Putin kelele tuu, Ukraine anamtoa jasho mwaka wa nne sasa
📍|| Habari Zinazoendelea‼️Hizo meli za america bado tu hazijafika eneo la wababe,.?