didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
kwaio wanachama wa EU wanataliwa? Je nani anawatawala?Ukipenda kutawala hutakubali kutawaliwa ...
mahafidhina sana Uingereza na je vipi hawa labour amabo sio mahafidhina watarudi EU?Uhamiaji
kwaio wanachama wa EU wanataliwa? Je nani anawatawala?
Sio rahisi kuanzisha kampeni za kurudi EU kwa sasa, UK wana mengi ya kuweka sawa ambayo ni kipaumbelemahafidhina sana Uingereza na je vipi hawa labour amabo sio mahafidhina watarudi EU?
Iko hivi baadhi ya mambo yanayohusu nchi mwanachama, huwa yanaamuliwa na European commission.kwaio wanachama wa EU wanataliwa? Je nani anawatawala?
Ndio swali linaulizwa sasa kwa PM achague upande mmoja USA au EUmahafidhina sana Uingereza na je vipi hawa labour amabo sio mahafidhina watarudi EU?
USAkwaio wanachama wa EU wanataliwa? Je nani anawatawala?
mahafidhina sana Uingereza na je vipi hawa labour amabo sio mahafidhina watarudi EU?
1. ela yao kuwa replaced na Euro hilo walilikataa toka mwanzoWataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU?
Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
Us ni yao afu muungano wa niniWataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU?
Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?