#COVID19 Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

#COVID19 Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania

Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga, ikiwa wamepata mojawapo ya Chanjo zinazotambulika katika Taifa hilo

Screenshot 2021-10-29 at 17.39.33.png


 
Back
Top Bottom