Uingereza na Kenya kukusanya $ 5bn kufadhili elimu baada ya Covid-19

Uingereza na Kenya kukusanya $ 5bn kufadhili elimu baada ya Covid-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Waziri Mkuu wa Uingereza na Boris Johnson na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuzindua mpango utakaosaidia kukusanyadola bilioni tano sawa na (£3.8bn) kwa ajili ya kuwasomesha watoto kutoka jamii masikini duniani.​

Idadi ya wanafunzi walioacha shule imeongezeka zaidi wakati wa janga la Covid-19.

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, Sayansi na utamaduni (Unesco) linakadiria kuwa hadi wanafunzi bilioni 1.3 duniani billioni wameacha shule huku wataalamu wakionya kuwa baadhi yao huenda wasirudi kutokana na hali ya kiuchumi ya nchi zao.

Viongozi hao wawili pia watatangaza mpango wa kuandaa kwa pamoja kongamano kuu la elimunchini Uingereza katikati yam waka ujao kutafuta ungwaja mkono.

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson na Rais Uhuru Kenyatta watawashawishi viongozi kuhakikisha wanaenda shulewa kuwekeza zaidi katika mpango huo unaofahamika kama Global Partnership for Education.

Chanzo: BBC Swahili
 
Attachments

  • 1602488180009.gif
    1602488180009.gif
    42 bytes · Views: 2
Hta Tanzania pia mtasaidia, waonee huruma hata wale watoto maskini basi. Akili zakishirikina hazitokupeleka mahali.
Jaribuni kusimama kwa miguu yenu, kwanini hamjiamini?, mnatusikitisha sana kwakweli?
 
Sisi sio ombaomba kama ninyi msitujumlisha katika ujinga wenu huo, sisi tunakusanya nguvu zetu wenyewe.
Wewe kazi yako ni kupakiwa tu kama ng'ombe kwenye malori yakielekea kwenye kampeni za CCM. Vitu kama hivi huwezi ukavifahamu, rais Uhuru anasaidia kuchangisha hela za GPE(Global Partnership for Education), hela ambazo huwa ni za kusaidia nchi masikini kwenye sekta zao za elimu. Bila misaada ya GPE kila mwaka sekta yenu ovyo ya elimu nchini Tanzania ingesambaratika miaka mingi iliyopita. Global Partnership for Education boosts support for Tanzania to US$112 million | Global Partnership for Education
 
Kama tumetoa $3B za kujenga bwawa la Nyerere, hatuwezi kushindwa pata hivyo vijipesa anavyochangisha huyo ombaomba wenu. Sisi msituhusishe katika huo ujinga wenu.
 
Kama tumetoa $3B za kujenga bwawa la Nyerere, hatuwezi kushindwa pata hivyo vijipesa anavyochangisha huyo ombaomba wenu. Sisi msituhusishe katika huo ujinga wenu.
Kwanini, kwasababu nyie ni 'Dona Kantrii' au? [emoji1] Msihusishwe wakati nyie ndio mnafaidi? Endelea kujitia hamnazo kama kawa. [emoji1] GPE mwaka huu wa 2020 ndio waliwapa msaada ambao mnatumia kufadhili sekta yenu ya elimu. Alafu ndio kawaida yenu kila mwaka. Nashangaa inakuuma rais Uhuru akiwajibika pamoja na marais wengine duniani kuchangishia hela za kuwasaidia.

Jukumu la kuwa host wa conference ya kimataifa jijini Nairobi ya wadau kwenye sekta hiyo tayari amepewa rais UK. Natumai kwamba Tz mtashiriki ili mtoe maoni yenu kuhusu mlivonufaika na misaada ya Global Partnership for Education. [emoji1]
 
Kwanini, kwasababu nyie ni 'Dona Kantrii' au? [emoji1] Msihusishwe wakati nyie ndio mnafaidi? Endelea kujitia hamnazo kama kawa. [emoji1] GPE mwaka huu wa 2020 ndio waliwapa msaada ambao mnatumia kufadhili sekta yenu ya elimu. Alafu ndio kawaida yenu kila mwaka. Nashangaa inakuuma rais Uhuru akiwajibika pamoja na marais wengine duniani kuchangishia hela za kuwasaidia. Jukumu la kuwa host wa conference ya kimataifa jijini Nairobi ya wadau kwenye sekta hiyo tayari amepewa rais UK. Natumai kwamba Tz mtashiriki ili mtoe maoni yenu kuhusu mlivonufaika na misaada ya Global Partnership for Education. [emoji1]
Hatuwezi kuwa ombaomba, siku hizi wanakuja wenyewe kujipendekeza lakini hatuwezi kujidhalilisha kwa kuomba.

Unakumbuka walivyozuiza pesa ya Elimu wakidai hadi tuwaruhusu wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo?, tulikataa na kuendelea na maisha yetu, wenyewe walizileta.

Sisi tunajisimamia hatuwezi kuomba wala kujishusha, wakizileta wenyewe tutachukua, lakini hatuwezi kujishusha kwa pesa ndogo kama hiyo, $112M haiwezi kununua hata Airbus 300-220 moja.
 
Tofautisha kupewa na kuomba, sio kwamba hatuzihitaji tunazihitaji lakini hatuwezi kuomba na kujidhalilisha kama mnavyofanya huko Kenya
Sasa mbna deni la taifa liliongezeka alipoingia kichwa nundu
 
Sasa mbna deni la taifa liliongezeka alipoingia kichwa nundu
Wacha kuhamisha goli, sisi hatutembezi bakuli kama ninyi, rais wenu kabla Corona haijaisha kakimbilia France kwenda kuomba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
joto la jiwe kuwa serious wakati mwingine na uone aibu kwa niaba ya nchi yako. Ndio haya maneno ya furaha na bashasha kutoka kwa PS wenu wa elimu mlipopokea msaada wa GPE mwaka huu. Yaani hizi hela za kuwaelimisha watoto wenu huwa mmezingoja kwa hamu hadi mnazipangia, alafu upo hapa ukitupia porojo za sijui drimulaina. Bure kabisa. “We have received this news with a lot of
enthusiasm, giving us all the
reasons to work even
harder for the children of
Tanzania. The previous GPE
grant, which concluded in June, was instrumental in
supporting learning activitie
in the lower levels of
primary education, ” said Dr. Leonard Akwilapo,
Permanent Secretary of the
Ministry of Education,
Science and Technology. “In this new phase of
financing, we will go further
to enhance universal access
to and participation in quality
pre-primary, primary and
non-formal education, with particular attention to
learners from vulnerable
groups.” added Dr. Akwilapo.
 
Hivi unaelewa ninachosema?, sisi watanzania tupo very humble, tukipewa kitu lazima tuonyeshe unyenyekevu hata kama tumelipa pesa.

Hii pesa tulipewa kama msaada bila, lazima tuonyeshe shukurani na unyenyejevu wa hali ya juu.

Tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kwamba, Kenya inaomba msaada au mikopo kwa kutumia nguvu nyingi kwasababu bila mikopo/misaada nchi haina uwezo wa kugharimia miradi kwa pesa yake, Tanzania hatutegemei wala kuomba misaada, wanaileta wenyewe, mikopo mingine tunaikataa kama ule mkopo wa Civil - 19[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom