UINGEREZA: Shirikisho la soka(FA) limepokea ofa ya £800 milioni kutoka kwa Mmiliki wa Fulham kuuza uwanja wa Wembley

UINGEREZA: Shirikisho la soka(FA) limepokea ofa ya £800 milioni kutoka kwa Mmiliki wa Fulham kuuza uwanja wa Wembley

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
UINGEREZA: Shirikisho la Soka, FA limepokea ofa ya dau la paundi milioni 800 ili kuuza uwanja Wembley ambao ni mkubwa kuliko yote nchini humo

Dau hilo limetolewa na Mmiliki wa klabu ya na Fulham na timu ya Jacksonville Jaguars, Shahid Khan

Suala hii inadaiwa kuongelewa katika kikao cha FA kilichofanyika jana, Aprili 25, 2018

Uwanja huo wenye uwezo wa kubeba mashabiki 90,000 ulijengwa mwaka 2007 na uligharimu kiasi cha paundi milioni 757
=====

The Football Association has received an offer, thought to be worth £800m, to sell Wembley Stadium.

Shahid Khan, the owner of Fulham and NFL team Jacksonville Jaguars, is the prospective buyer.

It is understood the approach includes £500m for the stadium and £300m for the FA to keep the Club Wembley debenture and hospitality business.

NFL executive vice-president Mark Waller said having stadium options in London has been "critical to the NFL".

His statement added: "The potential purchase of Wembley Stadium is a further powerful sign of their commitment to the UK and their vision to help us grow the sport.

"This new relationship would allow for even greater flexibility in scheduling future NFL games in London."

The matter was discussed at an FA board meeting on Thursday.

The 90,000-seat stadium, which is the largest in the United Kingdom, cost £757m to build and opened in 2007.

Tottenham have played their home Premier League games at Wembley this season while work on their new stadium takes place.

Spurs also have a deal with the NFL to stage a minimum of two games a season over 10 years once the new stadium is complete.

Tottenham chairman Daniel Levy said the link-up with the NFL was a "compelling and exciting partnership".

The FA said in January it would finish paying for the ground by the end of 2024.
 
BBC.jpg
Shirikisho la mpira Uingereza lapokea Paundi 800m kuuza uwanja wa Wembley

Mmiliki wa timu ya Fulham anatajwa kuwa ndiye mnunuzi wa uwanja huo
Pia waendeshaji wa uwanja huo watapata kiasi cha paundi 500m na shirikisho la mpira uingereza litapata kiasi cha paundi 300m.

Lengo la kuuza uwanja huo ni kuwezesha shirikisho hilo kufanya uwekezaji wa kutosha katika soka kutoka chini

=======

The Football Association has received an offer, thought to be worth £800m, to sell Wembley Stadium.

Shahid Khan, the owner of Fulham and NFL team Jacksonville Jaguars, is the prospective buyer.

It is understood the approach includes £500m for the stadium and £300m for the FA to keep the Club Wembley debenture and hospitality business.

"We would strive to be the best possible steward for a venue that is iconic," Khan said in a statement.

"Wembley would return to private ownership and The Football Association would be able to focus on its core mission of developing players.

"I trust many if not most of you are also supporters of the England national teams, so I hope you welcome the potential of this becoming a reality."

Selling Wembley would allow the FA to make a major investment into football at grassroots level.

NFL executive vice-president Mark Waller said having stadium options in London has been "critical to the NFL".

His statement added: "The potential purchase of Wembley Stadium is a further powerful sign of their commitment to the UK and their vision to help us grow the sport.

"This new relationship would allow for even greater flexibility in scheduling future NFL games in London."

The matter was discussed at an FA board meeting on Thursday.

The 90,000-seat stadium, which is the largest in the United Kingdom, cost £757m to build and opened in 2007.

Tottenham have played their home Premier League games at Wembley this season while work on their new stadium takes place.

Spurs also have a deal with the NFL to stage a minimum of two games a season over 10 years once the new stadium is complete.

Tottenham chairman Daniel Levy said the link-up with the NFL was a "compelling and exciting partnership".

The FA said in January it would finish paying for the ground by the end of 2024.

Source: BBC
 
Hapa Yanga lazima watautaka
Nimesikia tetesi kuwa Mkwasa Ameenda kufanya mazungumzo ya awali.
Wakifanikiwa kuununua wanahama VPL na kihamia EPL
 
Huyo shahid khan badala ya kuhangaika na timu anahangaika na uwanja!..Hiyo hela alete 'maninja' wa uhakika toka kocha hadi wachezaji apandishe hadhi ya Timu yake!.
Anyway tunamkaribisha EPL tena 2018/2019 kwa mikono miwili jirani yetu mwana-London mwenzetu [HASHTAG]#Fulham[/HASHTAG]!..[HASHTAG]#AllegriNjooArsenal[/HASHTAG]!
 
Jamaa anataka kununua uwanja wa taifa. Naskia na hapa bongo simba hawanaga uwanja wa taifa fanyeni nanyie ku bargain na TFF mchukue wa taifa ule pale temeke.
 
Back
Top Bottom