Uingereza: Vifo vitokananvyo na Unywaji Pombe vyaongezeka baada ya Watu kuwekwa Karantini ya Majumbani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Inaelezwa kuwa kuongezeka huko kumeanza baada ya watu kutakiwa kukaa majumbani ili kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.

Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (ONS) zinaonyesha kuna vifo 7,423 chanzo kikiwa ni unywaji pombe sawa na ongezeko la asilimia 20 kuanzia mwaka 2019.

Kasi hiyo ya kupanda kwa kiasi kikubwa ilitokana na ongezeko la asilimia 17 katika robo ya pili ya mwaka baada ya Uingereza kuanza hatua za kuzuia matembezi Machi 2020 huku ongezeko la asilimia 22 na 28 likiwa katika robo zilizofuata.

=============

LONDON (AP) - Alcohol-related deaths in England and Wales jumped by a fifth last year to reach their highest level in two decades, new government figures showed Thursday.

The Office for National Statistics said there were 7,423 deaths attributed to alcohol misuse in 2020, a 19.6% increase from the year before. It said the majority were due to chronic conditions, such as alcohol-related liver disease.

The rise began in March 2020, when the U.K. began its first coronavirus lockdown, and the rates for the rest of the year remained significantly higher than in previous years.

The provisional data showed that alcohol-specific deaths among men were 4.2 times higher in the poorest areas of Wales and England than in the most affluent areas.

The statistics office said complex factors contributed to the rise in deaths and that it may be some time before the causes are fully understood. It said, however, that it was clear high-risk drinkers increased their alcohol consumption during the pandemic.

Sadie Boniface, a visiting researcher at King’s College London who studies alcohol use, said the reasons behind the increase in alcohol-related mortality last year were likely to include more consumption among people who had been drinking “at dependent levels for some time.” Access to health care and fear of going to the hospital for treatment during the pandemic also likely played a role, she said.

“Last year, there was a reduction in emergency presentations and admissions across the board, and addiction treatment data also showed fewer new clients starting treatment last summer,” Boniface said.
 
Last year, there was a reduction in emergency presentations and admissions across the board, and addiction treatment data also showed fewer new clients starting treatment last summer,” Boniface said
 
Pamoja na hayo waliyotaja, piga picha: unaishi mwenyewe huruhusiwi kutembelea au kutembelewa. Unafanya kazi kutoka nyumbani au umeachishwa kwa muda unapata fao la kujikimu kipindi hicho. Unaweza kuagiza chakula na vinywaji vikaletwa hadi mlangoni mwako. Una msongo wa mawazo, ni kipindi cha sikukuuu, katikati ya baridi kali..ukiangalia taarifa za habari ni kuhusu vifo na matatizo tu.

Mazingira yalikuwa wezeshi kwa walevi na wale "suicidal".
 
Maisha yanakuwa na maana mtu anapofanya vitu na tulivyo tupo coded kufanya vitu na sio kukaa tu.
 
Pamoja na hayo waliyotaja, piga picha: unaishi mwenyewe huruhusiwi kutembelea au kutembelewa. Unafanya kazi kutoka nyumbani au umeachishwa kwa muda unapata fao la kujikimu kipindi hicho. Unaweza kuagiza chakula na vinywaji vikaletwa hadi mlangoni mwako. Una msongo wa mawazo, ni kipindi cha sikukuuu, katikati ya baridi kali..ukiangalia taarifa za habari ni kuhusu vifo na matatizo tu.

Mazingira yalikuwa wezeshi kwa walevi na wale "suicidal".
Bangi haina madhara kuliko pombe, nchi nyengine inatumia kama tiba
 
Kwani yule mtu mfupi chapombe Likwid anasemaje?
 
Inaelezwa kuwa kuongezeka huko kumeanza baada ya watu kutakiwa kukaa majumbani ili kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.

Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (ONS) zinaonyesha kuna vifo 7,423 chanzo kikiwa ni unywaji pombe sawa na ongezeko la asilimia 20 kuanzia mwaka 2019.

Kasi hiyo ya kupanda kwa kiasi kikubwa ilitokana na ongezeko la asilimia 17 katika robo ya pili ya mwaka baada ya Uingereza kuanza hatua za kuzuia matembezi Machi 2020 huku ongezeko la asilimia 22 na 28 likiwa katika robo zilizofuata.

=============

LONDON (AP) - Alcohol-related deaths in England and Wales jumped by a fifth last year to reach their highest level in two decades, new government figures showed Thursday.

The Office for National Statistics said there were 7,423 deaths attributed to alcohol misuse in 2020, a 19.6% increase from the year before. It said the majority were due to chronic conditions, such as alcohol-related liver disease.

The rise began in March 2020, when the U.K. began its first coronavirus lockdown, and the rates for the rest of the year remained significantly higher than in previous years.

The provisional data showed that alcohol-specific deaths among men were 4.2 times higher in the poorest areas of Wales and England than in the most affluent areas.

The statistics office said complex factors contributed to the rise in deaths and that it may be some time before the causes are fully understood. It said, however, that it was clear high-risk drinkers increased their alcohol consumption during the pandemic.

Sadie Boniface, a visiting researcher at King’s College London who studies alcohol use, said the reasons behind the increase in alcohol-related mortality last year were likely to include more consumption among people who had been drinking “at dependent levels for some time.” Access to health care and fear of going to the hospital for treatment during the pandemic also likely played a role, she said.

“Last year, there was a reduction in emergency presentations and admissions across the board, and addiction treatment data also showed fewer new clients starting treatment last summer,” Boniface said.
Hata watu wataongezeka kuzaliana pia
 
Back
Top Bottom