Uingereza yaipa Ukraini Mkopo wa paundi bilioni 2.6.

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi.

Makubaliano ya mkopo huo yamefikiwa baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer kukutana na Volodymyr Zelensky Jijini London ambapo Sir Starmer amemwambia Zelensky kuwa anaungwa mkono kikamilifu kote Uingereza.

Zelensky na Sir Keir pia wametia saini mkopo huo kwa ajili ya vifaa vya kijeshi vya Ukraine, ambao utalipwa kwa kutumia faida kutoka kwenye mali ya Urusi iliyohifadhiwa nchini Ukraine.

Waziri Mkuu huyo wa Uingereza atakuwa Mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Viongozi wa Ulaya Jijini London leo Jumapili kuhusu juhudi za kumaliza vita vya Urusi na Ukraine, pamoja na ulinzi mpana wa Ulaya, huku Zelensky pia akitarajiwa kukutana na Mfalme Charles III.

Itakumbukwa Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump imetangaza kuwa haitoendelea tena kuisaidia Ukraine kifedha wala silaha za kivita kwasababu kipaumbele cha Marekani ni majadiliano ya amani na kumaliza vita ya Ukraine na Urusi ambapo uamuzi huu wa Marekani umetangazwa usiku wa kuamkia jana March 01,2025 na Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Caroline Leavitt baada ya kupira siku moja tangu Trump na Rais wa Ukraine Zelensky wazozane mbele ya camera za Waandishi wa Habari
 
Nchi za Ulaya zinajaribu kuziba pengo litakaloachwa na Marekani iwapo itakata msaada kwa Ukraine ngoja tuone kama wataweza.

Yoda
 
Kumbe Marekani wako sahihi , hao wazungu nao kumbe wametoa mkopo
Ila masharti ya mkopo ndiyo kitu cha maana zaidi kuzingatia

Mabenki mengi huwa yanaandika masharti ya mikopo kwa font ndogo sana ili kupoteza umakini wa msoma katika kusoma ili aweze kuamua kukopa au kuacha.kama ukipewa muda mzuri wa kusoma marti ya mkopo unaokopa huko benki unaweza kuahirisha kuchukua mkopo.Hiv unaelewa kwamba benki inaweza kukupandishia riba kati kati ya marejesho bila kukutaarifu?

Turudi huku.

Inawezekana masharti ya Uingereza ni mepesi zaidi kuliko Usa.na ndivyo ninavyoamini.nawajua UK,wako openi na fair zaidi kuliko hii marekani ya Trump
 
Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi.

Makubaliano ya mkopo huo yamefikiwa baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer kukutana na Volodymyr Zelensky Jijini London ambapo Sir Starmer amemwambia Zelensky kuwa anaungwa mkono kikamilifu kote Uingereza.

Zelensky na Sir Keir pia wametia saini mkopo huo kwa ajili ya vifaa vya kijeshi vya Ukraine, ambao utalipwa kwa kutumia faida kutoka kwenye mali ya Urusi iliyohifadhiwa nchini Ukraine.

Waziri Mkuu huyo wa Uingereza atakuwa Mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Viongozi wa Ulaya Jijini London leo Jumapili kuhusu juhudi za kumaliza vita vya Urusi na Ukraine, pamoja na ulinzi mpana wa Ulaya, huku Zelensky pia akitarajiwa kukutana na Mfalme Charles III.

Itakumbukwa Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump imetangaza kuwa haitoendelea tena kuisaidia Ukraine kifedha wala silaha za kivita kwasababu kipaumbele cha Marekani ni majadiliano ya amani na kumaliza vita ya Ukraine na Urusi ambapo uamuzi huu wa Marekani umetangazwa usiku wa kuamkia jana March 01,2025 na Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Caroline Leavitt baada ya kupira siku moja tangu Trump na Rais wa Ukraine Zelensky wazozane mbele ya camera za Waandishi wa Habari
Wakusoma 12 sema hivi uingereza yatumia hela za Russia zilizoko Uingereza kumkopesha Ukraine na ktk hizo hela ni ile faida ndiyo anayokopeshwa Ukraine na maana yake Uingereza hakuna alichotoq hata senti tano na Uingereza ni mnufaika maana vita ikiisha hiyo hela Uingereza hana ndiyo maana anataka vita iendelee hahaha ila Zelenskyy ni zezeta sana
 
Mkopo utakaolipwa kwa Mali za Russia zilozoko Ukraine!? UK ni wajanja.
 
kweli UK sio watu wazuri yaani zelesky anauziwa ugomvi kwa kuchochewa moto kiboya kabisa..sasa mwenye mali zake akizidai itakuwaje na hao UK wanajua Urussi hawezi kubali mali zake zilipe deni la mjinga asiyejielewa patachimbika..ikifika hapo kwa mrusi kukomaa na mali yake ukraine hatokuwa na ujanja zaidi ha mali nyingine kulipa hilo deni ndo tunarudi pale kwenye mkataba na marekani alipotaka rasilimali za madini adimu..sema jamaa wanaanzia mbali kwa gia ya misaada kumbe wako hatua kumi mbele.!
 
Wakusoma 12 sema hivi uingereza yatumia hela za Russia zilizoko Uingereza kumkopesha Ukraine na ktk hizo hela ni ile faida ndiyo anayokopeshwa Ukraine na maana yake Uingereza hakuna alichotoq hata senti tano na Uingereza ni mnufaika maana vita ikiisha hiyo hela Uingereza hana ndiyo maana anataka vita iendelee hahaha ila Zelenskyy ni zezeta sana
Hueleweki
 
Back
Top Bottom