Uingereza Yaipa Zanzibar Mkopo wa Sh.Tilioni 1 Kujenga Uwanja wa Ndege Pemba

Wanajenga na mkataba kama wa DP world au hayo ni mambo ya Watanganyika tu...

Ila Mana Tibaijuka kafafanua vizuri kuhusu DP world mkataba unaanzia Chumbe hadi lake Victoria
 
 
Mkopo unaozidi bajeti yaooo..hatari sana ila baba Tanganyika ypo hakuna shida.. ni sawa na Tanzania tukope trillion 45...
 
Wachoyo hao kenge aisee wao madada zetu wanazagamua ila vidada vyao vichoyo vya mbunye ndo maana hata hotel za kitalii wamejaa wadada wa bara kuhudumu.
Wanzanzibari hatuna ukarimu uwo na haupendi kufanya kazi mahotelin hatuwez vaa nusu uchi
 
Ukweli utabaki palepaleee hakunaa cha bureeeee kipo wanachotaka na watakichukuaaaa Tz[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] nchi yangu
 
1. Tanzania iliiruhusu Zanzibar kukopa?

2. Nani atakayeulipa huo mkopo?
 
1. Tanzania iliiruhusu Zanzibar kukopa?

2. Nani atakayeulipa huo mkopo?
Unafikiri watu watahoji hayo? Wanasheria wenyewe kimyaa.

Hebu wajuzi tusaidieni, je, kwa makubaliano ya muungano Zanzibar inaruhusiwa kukopa kivyake?

Kama inaruhusiwa kukopa, je, deni la nje la Zanzibar limefika kiasi gani? Mana huwa tunasikia tu deni la Tanzania.

Na kama Tanzania ikikopa, je, fedha huwa zinagawiwa Zanzibar pia?

Kama fedha zinagawiwa mpaka Zanzibar ina maana Zanzibar inanufaika na mikopo ya Tanzania na Zanzibar yenyewe inapokopa?

Ila jamani kuna umuhimu wa kuupitia upya huu Muungano. Kama Watanganyika hawaoni haya madhaifu, basi ni mbumbumbu!



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…