Uingereza yakosolewa kwa kuitenga Afrika katika Sheria mpya za Viza ya kazi nchini humo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki.

Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30, wahitimu walio na shahada ya kwanza au shahada ya uzamili kutoka vyuo vikuu 50 bora nje ya nchi wanaweza kutuma maombi ya viza ya kazi ya miaka miwili na wataruhusiwa kuleta wanafamilia pamoja nao.Waombaji watakaofanikiwa wataweza kubadili visa vya ajira za muda mrefu

Orodha hiyo inajumuisha zaidi ya vyuo vikuu 24 vya Marekani, pamoja na taasisi za Kanada, Japani, Ujerumani, Uchina, Singapore, Ufaransa na Uswidi. Hakuna chuo kikuu cha Kiafrika kilicho kwenye orodha ya hivi karibuni ya wanaostahiki, wala kwenye orodha za miaka iliyopita.

======

Britain will offer work visas to graduates from the world's best universities in an expansion of its post-Brexit immigration system that is designed to attract the "best and brightest" workers. But no African universities are included in the list of eligible institutions.

Under the scheme announced on Monday, graduates with a bachelor's or master's degree from the top 50 universities abroad can apply for a two-year work visa and will be allowed to bring family members with them. Those who receive doctorates can apply for a three-year visa.

Successful applicants will then be able to switch to longer-term employment visas, the government said.

Eligible universities must appear in the top 50 rankings of at least two of the following: the Times Higher Education World University Rankings, the Academic Ranking of World Universities and the Quacquarelli Symonds World University Rankings. Those rankings must be for the year of the applicant's graduation, which must be within the past five years.

The most recent list of eligible universities from 2021, published online by the UK government, comprises more than two dozen US universities, as well as institutions in Canada, Japan, Germany, China, Singapore, France and Sweden. No African university is on the latest eligibility list, nor on lists for previous years.

The decision to exclude graduates from African universities has been criticized.
"To exclude an entire continent brimming over with the enormous creative and intellectual energies of its youth on the basis of its absence from arbitrary, culturally biased, abuse-prone university rankings is shortsighted....Several unranked African universities have produced, and continue to produce, some of the brightest minds in the world." said Professor Farooq Kperogi of the Kennesaw State University, Georgia.

"University rankings are a Euro-American obsession. They are no more than perceptions of institutional prestige and name recognition...which do not necessarily reflect quality," Kperogi added.

"It is unfortunate that African graduates are being excluded," said Dr. Owoyemi Elegbeleye of Nigeria's University of Lagos. "The UK government should consider a spread in this policy so that Africans can benefit. They can spread the eligibility list to the top 300," he told CNN.

Irina Filatova, an emeritus professor of the University of KwaZulu-Natal in South Africa, remarked that the ranking system was "skewed in favor of English language and technological universities

SOURCE: CNN
 
Wasomi kama kabudi, kitila, lipumba hapana bora waongereza wakomae tu hao wasomi wa kiafrika wanaojielewa wenyewe hawapo unategemea nini au mtu kama slaa hapana hawafai wasomi wa afrika
 
Yaani hao wadau wanalalamika wanataka waafrika wapewe upendeleo wa kufanya kazi Uingereza ama?
Vipaji vya Africa vibakie Africa ili kuchangia maendeleo ya bara letu na sio kulilia kupata work-visa ya Uingereza.
 
Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki.

Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30, wahitimu walio na shahada ya kwanza au shahada ya uzamili kutoka vyuo vikuu 50 bora nje ya nchi wanaweza kutuma maombi ya viza ya kazi ya miaka miwili na wataruhusiwa kuleta wanafamilia pamoja nao.Waombaji watakaofanikiwa wataweza kubadili visa vya ajira za muda mrefu

Orodha hiyo inajumuisha zaidi ya vyuo vikuu 24 vya Marekani, pamoja na taasisi za Kanada, Japani, Ujerumani, Uchina, Singapore, Ufaransa na Uswidi. Hakuna chuo kikuu cha Kiafrika kilicho kwenye orodha ya hivi karibuni ya wanaostahiki, wala kwenye orodha za miaka iliyopita.

======

Britain will offer work visas to graduates from the world's best universities in an expansion of its post-Brexit immigration system that is designed to attract the "best and brightest" workers. But no African universities are included in the list of eligible institutions.

Under the scheme announced on Monday, graduates with a bachelor's or master's degree from the top 50 universities abroad can apply for a two-year work visa and will be allowed to bring family members with them. Those who receive doctorates can apply for a three-year visa.

Successful applicants will then be able to switch to longer-term employment visas, the government said.

Eligible universities must appear in the top 50 rankings of at least two of the following: the Times Higher Education World University Rankings, the Academic Ranking of World Universities and the Quacquarelli Symonds World University Rankings. Those rankings must be for the year of the applicant's graduation, which must be within the past five years.

The most recent list of eligible universities from 2021, published online by the UK government, comprises more than two dozen US universities, as well as institutions in Canada, Japan, Germany, China, Singapore, France and Sweden. No African university is on the latest eligibility list, nor on lists for previous years.

The decision to exclude graduates from African universities has been criticized.
"To exclude an entire continent brimming over with the enormous creative and intellectual energies of its youth on the basis of its absence from arbitrary, culturally biased, abuse-prone university rankings is shortsighted....Several unranked African universities have produced, and continue to produce, some of the brightest minds in the world." said Professor Farooq Kperogi of the Kennesaw State University, Georgia.

"University rankings are a Euro-American obsession. They are no more than perceptions of institutional prestige and name recognition...which do not necessarily reflect quality," Kperogi added.

"It is unfortunate that African graduates are being excluded," said Dr. Owoyemi Elegbeleye of Nigeria's University of Lagos. "The UK government should consider a spread in this policy so that Africans can benefit. They can spread the eligibility list to the top 300," he told CNN.

Irina Filatova, an emeritus professor of the University of KwaZulu-Natal in South Africa, remarked that the ranking system was "skewed in favor of English language and technological universities

SOURCE: CNN
Waafrika wajenge bara lao mim Sion sababu ya kulalamika
 
Sisi (nchi za jumuiya ya madola) tusherekee kwa kushirikishwa kuwasha mwenge (moto) leo 2 June 2022 ikiwa ni ishara au alama kuwa pale pasipo na tumaini, basi lije ...

The Beacons will be lit throughout the UK, Channel Islands, Isle of Man and British Overseas Territories.

The Platinum Jubilee Beacons are one of the official events of the jubilee, and will be lit up and down the UK on Thursday 2 June​

beacon

https://inews.co.uk/author/alex-finnis

For the first time, beacons will also be lit in each of the capital cities of Commonwealth nations.

More than 1,500 beacons will be lit in total.

All those across the UK, Channel Islands and Isle of Man will be lit at 9.45pm on Thursday 2 June, other than the Royal Institute of Chartered Surveyors Anchor Chain, which will be lit at 9.30pm, and the beacons along Hadrian’s Wall, which will be lit at 10pm. The principal beacon is at the Mall in central London.

The international beacons will be lit at 9.15pm local time.

Here’s where the beacons will be lit across the Commonwealth:

  • St John’s, Antigua and Barbuda
  • Canberra, Australia
  • Nassau, Bahamas
  • Dhaka, Bangladesh
  • Bridgetown, Barbados
  • Belmopan, Belize
  • Gaborone, Botswana
  • Bandar Seri Begawan, Brunei
  • Yaoundé, Cameroon
  • Ottawa, Canada
  • Nicosia, Cyprus
  • Roseau, Dominica
  • Mbabane , Ewatini
  • Lobamba, Eswatini
  • Suva, Fiji
  • Banjul, The Gambia
  • Accra, Ghana
  • St George’s, Grenada
  • Georgetown, Guyana
  • New Delhi, India
  • Kingston, Jamaica
  • Nairobi, Kenya
  • South Tarawa, Kiribati
  • Maseru, Lesotho
  • Lilongwe, Malawi
  • Kuala Lumpur, Malaysia
  • Putrajaya, Malaysia
  • Malé, Maldives
  • Valletta, Malta
  • Port Louis, Mauritius
  • Maputo, Mozambique
  • Windhoek, Namibia
  • Yaren, Nauru
  • Wellington, New Zealand
  • Abuja, Nigeria
  • Islamabad, Pakistan
  • Port Moresby, Papua New Guinea
  • Kigali, Rwanda
  • Basseterre, St Kitts and Nevis
  • Castries, St Lucia
  • Kingstown, St Vincent and the Grenadines
  • Apia, Samoa
  • Victoria, Seychelles
  • Freetown, Sierra Leone
  • Singapore
  • Honiara, Solomon Islands
  • Pretoria, South Africa
  • Cape Town, South Africa
  • Bloemfontein, South Africa
  • Sri Jayawardenepura Kotte, Sri Lanka
  • Colombo, Sri Lanka
  • Dodoma, Tanzania
  • Nuku’alofa, Tonga
  • Port of Spain, Trinidad and Tobago
  • Funafuti, Tuvalu
  • Kampala, Uganda
  • Port Vila, Vanuatu
  • Lusaka, Zambia
 
Sio kweli, waafrika ndio wabaguzi kushinda wote duniani. Ebu wasikie kwamba wewe ni Chadema halafu unataka uongozi TFF kama utapata hata uwe na sifa ilioje.
Mkuu umekurupuka🤣
Sio ubaguzi wa mweusi kwa mweusi ni ubaguzi wa weupe kwa weusi😂
Usije ukasema mweusi nae anmbagua mweupe tafadhali
 
Nilichoka pale Afisa Uhamiaji alipo nambia kuwa tembea yangu ni fake!!….atanikomesha hapo simjui na hanijui…………..daaa weusi wamerogwa hasaaa na wakarogeka!
 
Bora wao wanawabagua waafrica...waafrica wanabaguana wenyewe kwa wenyewe🤣🤣🤣🤣
Yaani wee ebu fikiria kweli leo hii nikitaka kwenda tunis ni mpaka niende dubai (asia) ndio nirudi africa tena.
Waafrika ndio the wabaguzi wabaya kuliko wazungu.
Inawezekana usemayo ni sahihi
Ni kwa sababu waafrika wengi walitawaliwa na mwingereza,
So tunabaki mule mule tu mwalimu wao ni mwingereza 🤣🤣🤣
 
Hamna angekuwa mwalimu wetu mbona tungekuwa tumeendelea ila ona ujinga tunaoufanya.
Wao wana akili mingi wanalida jobs za watu wao.
 
Back
Top Bottom