P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Jul 29, 2022 #21 mzabzab said: Kama mwingereza alikuwa mwalimu basi mwanafunzi walikuwa wajinga Click to expand... Ujinga ni kweli tunao, Na ndio maana hata leo bado tunatumia sheria zilitungwa na waingereza
mzabzab said: Kama mwingereza alikuwa mwalimu basi mwanafunzi walikuwa wajinga Click to expand... Ujinga ni kweli tunao, Na ndio maana hata leo bado tunatumia sheria zilitungwa na waingereza
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Jul 29, 2022 #22 pye Chang shen said: Ujinga ni kweli tunao, Na ndio maana hata leo bado tunatumia sheria zilitungwa na waingereza Click to expand... Tena kwa lugha yao Asante magu kutushtua
pye Chang shen said: Ujinga ni kweli tunao, Na ndio maana hata leo bado tunatumia sheria zilitungwa na waingereza Click to expand... Tena kwa lugha yao Asante magu kutushtua
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jul 29, 2022 #23 Waende zao
Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,723 Reaction score 7,408 Jul 29, 2022 #24 pye Chang shen said: Waingereza ni wabaguzi wakubwa sana Click to expand... Nendeni mkaajiliwe na Warusi na Korea kaskazini
pye Chang shen said: Waingereza ni wabaguzi wakubwa sana Click to expand... Nendeni mkaajiliwe na Warusi na Korea kaskazini
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Jul 29, 2022 #25 Come27 said: Nendeni mkaajiliwe na Warusi na Korea kaskazini Click to expand... Fursa zote zilizoko afrika niondokee nini? Kwa taarifa tu hata hao wazungu wanatajirikia huku huku
Come27 said: Nendeni mkaajiliwe na Warusi na Korea kaskazini Click to expand... Fursa zote zilizoko afrika niondokee nini? Kwa taarifa tu hata hao wazungu wanatajirikia huku huku