UMEMALIZA kilakitu mkuuWanakamatwa kisheria siyo kutekwa na kupotezwa.
Nchi ya giza iko wapi kwenye list?Wakuu,
Nimeshangaa sana kukutana na list hii.
Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.
Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani
Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?
View attachment 3482944
Kuna tofauti kubwa sana ya ukamataji kati ya nchi na nchiWakuu,
Nimeshangaa sana kukutana na list hii.
Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.
Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani
Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?
View attachment 3482944
Kuna tofauti kubwa sana ya ukamataji kati ya nchi na nchi
Kuna nchi kama Tz Iran zinakamata kwa kukosoa serikali au viongozi wake
Na kuna nchi kama US Uk wanakamata kwasababu za kiusalama..... Huko hata umtukane Rais na serikali hawana muda na wewe
Kumbe Malawi tupo vizuri. Watu wanafanya yao hata kwenye kurasa za Ikulu. Adhabu wanayopewa ni block tuWakuu,
Nimeshangaa sana kukutana na list hii.
Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.
Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani
Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?
View attachment 3482944
Hawakamatwi kwa kuvunjia milango, kuumizwa na kupotea (Enforced disappearances). Wanapelekwa mahakamani na kama wana kesi na wamehukumiwa wanatozwa faini. Hizo kesi zao za mitaondoni siyo za kisiasa ni zile za kutishia kuua watu, kama walivyofanya kwa yule Charlie Kirk. Kwetu hapa ukimpinga rais kwa anayoyafanya na mwanawe Abdul, usiku haupiti utafuatwa nyumbani kwako na uchukuliwe, Rostam Aziz, na kampuni yake ya Vodacom au Tigo watawapa watawala na askari location yako yote, utakamatwa tu. Na ukipelekwa kwa chura kiziwi wa Kizimkazi adhabu yako itakuwa ni kifo tu, siyo kitu kingine.Wakuu,
Nimeshangaa sana kukutana na list hii.
Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.
Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na freedom of speech" duniani
Na Malawi siioni kwenye hii list. Kwamba watu hawakamatwi huku?
View attachment 3482944
Naunga mkono hojaHuko pia mtu akisema nita andamana anakuwa amemaanisha, akisema nita mshoot mtu anakuwa amemaanisha hivyo kuzuia wanafanya arrest mapema. Huku mtu anaweza jiandikia lakini asimaanishe kile kikundi kikampoteza