MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Jul 23, 2026 #21 Uk anaingizwa kwenye mfumo ,asilalamike kwamba China na Russia wanamsaidia Iran
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Jul 23, 2026 #22 Mr Slim said: UAE hii phase ya pili ya vita kakaa mbali...Dubai amani tu. Click to expand... Alilipa takribani USD 20 Billion na alitanguliza USD 3 Billion ili asishambuliwe.
Mr Slim said: UAE hii phase ya pili ya vita kakaa mbali...Dubai amani tu. Click to expand... Alilipa takribani USD 20 Billion na alitanguliza USD 3 Billion ili asishambuliwe.
BARON99 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 4,770 Reaction score 5,420 Jul 24, 2026 #23 Mr Slim said: UAE hii phase ya pili ya vita kakaa mbali...Dubai amani tu. Click to expand... Bila shaka amepiga marufuku U.S kushambulia kutokea kwake na Iran ikaona haina haja kumshambulia this time.
Mr Slim said: UAE hii phase ya pili ya vita kakaa mbali...Dubai amani tu. Click to expand... Bila shaka amepiga marufuku U.S kushambulia kutokea kwake na Iran ikaona haina haja kumshambulia this time.
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,829 Reaction score 38,912 Jul 24, 2026 #24 Mbk BARON99 said: Bila shaka amepiga marufuku U.S kushambulia kutokea kwake na Iran ikaona haina haja kumshambulia this time. Click to expand... Mbona haishambulii Israel. Noichogundua kwenye hii vita, waarabu wa hapo mashariki ya kati wanatamani Iran aendelee kupkea kipondo
Mbk BARON99 said: Bila shaka amepiga marufuku U.S kushambulia kutokea kwake na Iran ikaona haina haja kumshambulia this time. Click to expand... Mbona haishambulii Israel. Noichogundua kwenye hii vita, waarabu wa hapo mashariki ya kati wanatamani Iran aendelee kupkea kipondo