Uingereza yasitisha msaada Rwanda kwa Kuunga Mkono waasi wa DRC

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono na Kigali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Soma Pia: Serikali ya Uingereza yamuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza kufuatia M23 kuzidi kusogea Congo


Uingereza pia imetishia kuiwekea Rwanda vikwazo kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23, ambalo limechukua udhibiti wa miji ya Goma na Bukavu katika wiki za hivi karibuni, likipambana kudhibiti eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa DRC. Ripoti za Umoja wa Mataifa zinaeleza kuwa waasi hao wanapata msaada kutoka kwa takriban wanajeshi 4,000 wa Rwanda.
=====================
The UK government has announced it will cease attending events hosted by the Rwandan government and suspend aid to the east African nation over advances by Kigali-backed rebels in the Democratic Republic of Congo (DRC).

Britain has also threatened sanctions against Rwanda, which is supporting the M23 rebel group in the DRC.

The group has occupied the cities of Goma and Bukavu in recent weeks as it fights for control of the DRC’s mineral-rich eastern region with UN experts claiming that the rebels are also supported by about 4,000 Rwandan troops.

On Tuesday, the UK’s Foreign, Commonwealth and Development Office (FCDO) said it would limit engagement with the government in Kigali over its links to the rebel offensive.
 
Je hatua hiyo inaweza maliza vita drc? Au ni kujitoa lawama
 
Je hatua hiyo inaweza maliza vita drc? Au ni kujitoa lawama
Kama ilivyoonekana huko Ukraine, hatua hiyo haina mashiko. Ukizingatia, hawa watu ni wanafiki kupita kiasi. Hao wanaowekewa vikwazo, wakitaka kufanya yao, hawamtaarifu mtu. Na wao wenye kuweka vikwazo, ndo vibaka namba 1. Hizi ni danganya toto tu.
 
Ni hatua nzuri sana wasiishie hapo waandae mpango au kuwatumia FDLR waingie Rwanda wakamfirimbe Fidodido na Majambazi menzake
 
 

Attachments

  • -1146136309.mp4
    7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…