Uingereza yatoa tahadhari kwa raia wake wanaokwenda Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii ni baada ya tishio la makabiliano baina ya polisi na waandamanaji mnamo tarehe 26 Aprili, ila kha nitashangaa sana kama Watanzania wanaweza kuthubutu huu mziki na mzuka wa Kikenya....hehehe....tena rais wenu alisema atakayetumwa na babake athubutu.

-------------------------------------
If you’re a British National and planning to be in Tanzania this week, you need to be hyper-vigilant to ensure you’re not ensnared in “political demonstrations” on April 26.

In a travel advisory issued earlier today, the British Foreign and Commonwealth Office warns travelers that although typical trips to Tanzania are “trouble-free”, Union Day visitors should be more circumspect because if there are demonstrations, there could be "fatalities."

UK govt. warns visitors to Tanzania of “possible” Union Day
 
Kwa sababu ya Tarehe 26 kuna maandamano.
Watu wanaandamana TZ kupinga kubinywa kwa democrasy na utawala bora.
Mimi kama kipenzi chake Magufuli ningemshauli kwenye swala la democrasy na utawala bora ajilekebishe.
Sehemu nyingine yuko vizuri lakini hapo ndipo anapo haribu.
Hizi ndio loop holes wanazotumia wazungu kuanzisha vita kwenye nchi zetu za Africa.

We are putting our country at risk. Magufuli anachukulia simple haya maswala lakini yata mcost.
 
Acha longolongo zako wewe, tahadhari imesabibishwa na Nissan za white na watu wasojulikana. [emoji38]
 
Travel bans are common especially to kenya. JPM should shrug it off like the shit it is, No effect to economy or tourism, nothing. Kaa ngumu kinyang'au nyang'au
 
Yale ni maandamao ya kwenye Insta yaliyoratibiwa na kahawa wa diaspora mambe kimangi.
 
Although typical trips to Tanzania are “trouble-free” Hata wazungu wenyewe wanatafuta maneno yasio na msuguwano kuyaandika. JPM affect.
 
Hili suala la kuminya demokrasia magufuli anatakiwa kuliangalia kwa jicho la tatu, linamchafulia sana heshima yake aliyoijenga hapo awali.

Angekuwa anaskiliza angewaacha waandamanaji waandamane wakimaliza warudi makwao. Kitendo cha kuwazuia sio busara hata kidogo.
 
Magufuli anafanya mengi sana mazuri but hapo ndio anaharibu, sioni sababu ya kukomalia kuwafunga watu vinywa wasiongee na wasimkosoe,
But Besides, Hakutakuwa na hayo maandamano.
 
nakubaliana...magu anafanya mema most of the time lakini kwa hili la demokrasia anajishusha hadhi kabisa...
 
Mimi sijaona mtu mufungwa kinywa. Mbona humu jf, twitter, fb, ig tunajimwaga tu.
 
mmebakisha chini ya wiki mbili mitandaoni! kama hauna $920 ole wako.
Sasa unataka nchi iwe ya makelele makelele tu kama nchi ya vichaa? Rule of law ndio mpango mzima. Kama hutaki acha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…