Uitwaji tofauti kulingana na aina ya chakula kilichopikwa

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,197
Reaction score
128,160
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehe hiyo ya mwisho ilikua hata ukiitwa jina unaingia mara moja.
Yaani huchezei mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…